W8 (wait) - SWAHILI LYRICS
*Translation by Wangu (TW@One_gle)W8 (wait) - SWAHILI LYRICS
Niliamka na kuzitazama habariMambo mengiYasiolezekaBila kudhibitisha yatakayobadilikamaswali mengi, ila imebaki kukumbana na 'kweli
bado natamaniungekuwa nami hapaWakati hofiyainakaribiyalakini ninacho kiapoMoyoni nimekishikilia
Kwa hivo waweza kuwa 8 elfu, mia 7 na tisa maili mbali nitaruhusuHiki kipupwe kidumu mara mbili zaidiKabla kikaribishe Masikamaana kesheshe zinazonikabiliSiku moja zitapanguza machoziHata ukiwa mbali namiDaima nitakuwaDaima nitakuwanasubiri
Nahisi kama ninaning'ia kwenye ukingo wa mlimanikitarajia alfajiri ingeyokaribisha huu usiku bado nateleza na kujikwaahata kuangukanikadhani yote ilikuwa ni yangu hatia (ni yangu hatia)
Je, niende kujisitiriama nitorokeau nisingizie mambo yote yako sawawakati yanabomoka, bomokaNikawachwa nikiwaza, waza
kama (bado) utakuwa hapakuyapanguza machozi hayawakati yote ninayo, ni nadhiri ya zambaraunimeshikilia moyoni
Kwa hivyo waweza kuwa 8 elfu 7 mia na 9 maili mbalinitakiruhusuhiki kipupwe mara mbili zaidi kidumukabla kigeuke kuwa masikamaana kesheshe zinazonikabilizitanipanguza machozi siku mojahata ukiwa mbali namiDaima nitakuwaDaima nitakuwa nasubiri
kila lila na filamoyoni huwazana nishaelewakwamba nikiwa nawesitakuwa peke kamwe
hata tukitenganishwa kama mbingu na ardhinitajiruhusu kusema"Liwe liwalo"Kumbuka ilesiku uliniahidi"There's no wat that they could really cancel the spring?
Najua kwambaSiku moja yote yatapitaNa mwishowe tutapata amaniHaijalishi mbali uliokoDaima nitakuwa Daima nitakuwa nasu8iri

** You don't see the translation in your language and you want to contribute with translating it? You can now do it, you'll just need to fill out this form